MASTER OF SNACKS 🍡🍔 01
MTUNZI; HUSQER BALTAZAR
0657762790
Nimezaliwa katika familia where my twin brother alikuwa na akili mingi sana kuliko hata robot za Elon musk
But niseme nini 😭 haikuwa bahati yake kupewa awards ya mwanafunzi bora.
Alipoteza maisha baada ya kupewa taarifa za kuibiwa kwa...