Advertise here

MASTER OF SNACKS MTUNZI; HUSQER BALTAZAR

Simulizi

Member
MASTER OF SNACKS πŸ‘πŸ” 01
MTUNZI; HUSQER BALTAZAR

0657762790

Nimezaliwa katika familia where my twin brother alikuwa na akili mingi sana kuliko hata robot za Elon musk
But niseme nini 😭 haikuwa bahati yake kupewa awards ya mwanafunzi bora.

Alipoteza maisha baada ya kupewa taarifa za kuibiwa kwa Kitabu Cha Vitafunwa kilichoandikwa na Baba yetu

Tuliweza kupika snacks nzuri kwa kutumia kitabu hiki na hata tukatengeneza jina...... ilikuwa ni heri familia yote ipoteze maisha lakini siyo kitabu 😭

Ni miaka 7 sasa imepita tangu Kitabu Cha Vitafunwa kipotee na roho ya my twin brother 😩

Sultana Mimi si mtu wa kukata tamaa....niliendelea kupika vitafunwa mbalimbali bila msaada wa kitabu πŸ–οΈhuu ni kijiahidi ipo siku nitakirudisha mikononi mwangu

Kwa sababu ya upishi wangu mzuri watu wengi waliniita Master of Snacks πŸ‘πŸ§†wengine waliniita dine diva....I was so impressive 😘

Siku ya leo naiweza kuiita Blue Monday πŸ’« can you imagine Wanajeshi wapatao 80 walikuja hapa kuonja taste ya snacks zangu πŸ˜…

Niliwazuia Wateja ya kawaida nikijua leo Sultana Mimi nitatengeneza pesa. I never thought kama hawa watu huwa wana tabasamu πŸ˜€....utamu wa snacks zangu uliwatolea nyongo ya makasiriko

"Naitwa Sultana....naweza kupika snacks hata nikiwa usingizini, uwezo wangu ni mkubwa kupita kiasi na hii ndio sababu naitwa Master of Snacks πŸ‘πŸ§†πŸ˜‰" Niliongea baada ya kuona watu hawa wanakaribia kumaliza vitafunwa vyao....ni kama nilikuwa na wakumbusha kulipa kabla ya kuondoka

"Ahsante kwa huduma yako nzuri....tutaonana kwa wakati mwingineπŸ˜‰" Mmoja wa Wanajeshi aliongea akitaka kuondoka lakini nilimzibia njia

''kuhusu malipo hatukuelekezwa.... General wetu katupa amri tuje kunywa chai tu, uwezo wa kukulipa tunao but kwa kuwa hakutaja malipo hatuwezi kulipa πŸ–οΈ" Mwanajeshi mwingine aliongea

Friends 😭 nilisikia maumivu makali ndani ya moyo wangu as if Masai kanichoma mkuki akihisi Mimi ni mbweha

"Sielewi kwanini umekuwa na colour ya blue ghafla tusamehe, lakini hatukuelekezwa kulipa πŸ–οΈ, tuondokeni" Mwanajeshi mwingine aliongea kisha wakaanza kuondoka

"Nyie mbwa naomba mnisikilize kwa umakini....naitwa Sultana, master of snacks. Go and tell your General kuwa ni ms*nge 😑....na kwa sababu mmekula bure kwa sababu ya amri yake atalipa kwa kubakwa na Mimi, No...nikimbaka nitakuwa nimemhurumia sana nitamf*ra 😭" Niliongea nikiwa na hasira kupita kiasi

Wanajeshi wote walirudi wakaniweka mtu kati.....sura zao zilikuwa nyeusi kupita kiasi, nilijikuta nikiona usiku ilihali ilikuwa ni saa nne asubuhi 😩

Folks πŸ₯Ά nilishikiwa bastola, kilo zangu Mimi ni 42😭 kama watanipiga risasi am not sure kama maiti yangu itaonekana

Suddenly, pua zangu zilinusa harufu nzuri ya marashi....
"Kitu gani hicho mnafanya?....niliwaagiza kunywa chai tu na si kushikia mtu silaha....pigeni magoti πŸ–οΈ" Sauti ilisikika

Wanajeshi wote walipiga magoti, nilinyanyua kichwa changu ni mtazame mtu aliyetuma hawa mbwa waje kula bure as if Mimi ni shemeji yao πŸ˜…

"Njoo unif*re....wakati una bweka nilikuwa mlangoni...πŸ–οΈ" Kabla hata sijamtazama usoni niliambiwa hivi, kilichonishtua zaidi ni baada ya kushuhudia suruali yake imedondoka chini....means amevua nimf*re😩

Imeandaliwa na Baby Smile whatsap-vodacom 0794-440-997 | Mwita Magesa
Itaendelea πŸ’₯
 
MASTER OF SNACKS πŸ‘πŸ§† 02
MTUNZI;
*HUSQER BALTAZAR*

*0657762790*

Nilitamani ardhi ipasuke niingie lakini haikuwezekana 😩.....huwa nachukizwa sana na mambo ya witchcrafts lakini leo nilitamani ningekuwa mshirika wao

"Huwezi kun*fira siyo?....nyie mik*undu nataka hili eneo lipandwe miti ya michungwa sasa hivi 😠" General alitoa amri kwa watu wake

Moyo wangu uligawanyika kama Nchi kavu na bahari πŸ’” kwa mshtuko, why huyu mbwa anataka mgahawa wangu ugeuzwe bustani ya michungwa 😭.....

Nilijikuta nimesimama tukawa tuna tazamana 😩....nilitarajia litakuwa ni jitu zee lakini alikuwa ni Kijana mdogo tu. Kwa haraka alinizidi miaka minne kama sikosei....bado ana safari ndefu ya kwenda ni mapema sana kwake kumiliki roho mbaya 😭

Niliamua kujipendekeza kwa kumvalisha suruali yake ni kihisi adhabu itapungua lakini haikuwa hivyo ni kama niliweka petroli kwenye moto πŸ˜’

General aliondoka kwa ghadhabu... πŸ₯Ά kufumba na kufumbua mgahawa wetu uliojengwa kabla hata Mimi na my twin brother hatujazaliwa uliporomoshwa 😭

Sikumbuki nini kilitokea nilikuja kushtuka nikiwa hospitali

"Pole sana Sultana......hakijaharibika kitu nitakutafutia eneo lingine πŸ˜’" Tom Vin (Rafiki wa my twin brother) aliniambia, kwa sasa yeye ni Daktari. Kaajiriwa katika hospital ya Wanajeshi

"Sikuwaalika katika mgahawa wangu....hakika sitamsamehe huyo Mbweha 😭" Niliongea

"Kuliko ni kutafutie eneo kwanini nisikutafutie nafasi katika kambi ya Wanajeshi....malipo yao ni mazuri sana, pindi utakapo jikusanyia pesa za kutosha una uwezo wa kuacha kazi....kule huhitaji kuwaza kuhusu wateja kwa sababu kila siku Wanajeshi wanakula πŸ€—" Tom Vin aliongea

"Yes, nipeleke huko hata sasa hivi 😠" Nilijikuta ni kiongea, nilihitaji kulipa kisasi kwa kumuwekea sumu General kwa kosa la kubomoa mgahawa ulioachwa na wazazi wangu

Kila kitu ni connection asikuambie mtu.... ilikuwa ni rahisi kwangu kuingia katika Camp ya Wanajeshi iliyojulikana kama Kunguru weusi

Nilipatiwa mtihani wa kuchoma chapati ndoo kubwa mbili ndani ya saa nzima πŸ–οΈ
Kwangu Mimi ilikuwa ni sawa na kuangalia salio la kifurushi kwani kabla hata nusu saa haijaisha nilimaliza 😱

Wapishi wote walionekana kunishangaa....nilipewa alama mia kwa huu mtihani

"Juhudi zako zitakufanya upandishwe cheo, na mwisho kabisa utaanza kuwa unampikia General Colby" Head Chef Cherry

Nijikuta ni kicheka baada ya kusikia jina Colby 🀣 maana yake ilikuwa ni Jibini sijui ni kwanini jitu hili lilipewa hili jina

"Ni kitu gani kimekufurahisha mpaka umepasua ngoma ya sikio langu 😠" Head Chef Cherry aliuliza

Nilijikuta ni kikosa jibu la kuzungumza

"Peleka hiki chakula kwa General hakikisha haukifunui...." Cherry aliongea

Watu wote waliokuwa hapa walishtuka 😡, I don't know kitu gani kiliwashtua. Sikutaka kujua, nilichukua hotpot ya chakula nikaondoka baada ya Head Chef Cherry kunionesha ofisi ya General

Nilitembea kwa haraka, lakini suddenly tu tamaa ya kukiangalia chakula iliniijia .....nilishtuka baada ya kukuta Sambusa zenye mapambo sawa na zile zilizoandikwa kwenye kitabu cha vitafunwa kilichopotea πŸ₯Ά

Nilihitaji uhakika zaidi, nilikata kidogo ni kaonja....
"Kitabu cha vitafunwa kitakuwa sehemu hii πŸ–οΈ" Nilijisemea
Ile nafunika hotpot tu....nilisikia mtu akinipigia makofi. Niliogopa baada ya kumuona General Colby....yule aliyetoa amri mgahawa wangu upandwe michungwa 😩

*Imeandaliwa na Baby Smile whatsap-vodacom 0794-440-997 | Mwita Magesa*
Itaendelea πŸ’₯
 
MASTER OF SNACKS πŸ‘πŸ” 03
MTUNZI;
*HUSQER BALTAZAR*

*0657762790*

"Narusha hii shilingi juu, endapo itarudi mkononi mwangu hujamaliza hizo snacks nitakukata kidole 😠" General Colby aliongea, macho yake haya kuonesha utani hata kidogo

Sikuwa tayari kukatwa kidole πŸ–οΈ....kabla hata hajaidaka shilingi nilimaliza Sambusa zote πŸ˜…

"Very impressive 🧐" General Colby aliongea kisha akaondoka

Sikutarajia kama nimesamehewa kirahisi, sijui kama ananikumbuka au ni aina ya watu wasiobeba matukio ya ajabu kichwani mwao πŸ™„ nilitamani nimlaumu kuhusu mgahawa wangu lakini nilikausha

Nilirudisha hotpot likiwa jeupe pee, you can't believe.... Head Chef Cherry alinikumbatia πŸ˜… kisha akaondoka bila kusema chochote

"Huenda leo tutakula vizuri, General Colby hajawahi kula chakula chake πŸ–οΈ huu ni mwaka wa kumi sasa....amekuwa akipambana kumpikia kila design ya vitafunwa lakini huwa kinarudi. I don't know una bahati gani" Coco aliongea

Nilitamani kusema chakula kimeishia tumboni kwangu lakini niliogopa kufukuzwa kazi πŸ˜…

Mida ya usiku nikiwa nimelala nilijikuta ni kikikumbuka kitabu cha vitafunwa kilichopotea miaka 7 iliyopita.
Nina uhakika kipo hapa....natakiwa nikipate kabla sijafukuzwa kazi πŸ˜’

Matumaini ya kuishi hapa muda mrefu yalikuwa ni 0.1

Kulivyo pambazuka asubuhi Wapishi wote tulikusanyika parade πŸ–οΈ

"Naumia kuona baadhi ya Wanajeshi wanaenda kula nje ilihali humu ndani kuna vyakula pia....hii inatosha kuniambia upishi wenu siyo mzuri. Nimekuwa mwema sana kwenu but kuanzia sasa nitafukuza Mfanyakazi mmoja baada ya mwingine mpaka nitakapo fikia malengo 😏" Cherry aliongea kisha akatugawia majukumu

Kazi yangu ya leo ilikuwa ni kukaribisha Wateja kwenye mgahawa wetu. Ilikuwa ni kazi ngumu sana kwa sababu Wanajeshi wengi walikuwa busy kwenye maeneo yao ya kazi 😩

"Snacks zote haziwezi kuharibikia hapa, they say mteja ni Mfalme bring those snacks nitawapelekea ofisini kwao πŸ–οΈ" Niliongea

Watu wote walishangaa 😱....sikutaka kuhangaika na mijicho yao. Nilichukua vitafunwa ni kaanza kupita kwenye ofisi moja baada ya nyingine πŸ˜…

Bahati mbaya vitafunwa viliisha kabla sijampelekea General Colby 😩

"Huna haja ya kuhangaika General Colby anapelekewa chakula chake muda si mrefu na Chef Cherry πŸ–οΈ" Coco aliongea

"Yeye pia anatakiwa awe mteja wa huu mgahawa na si kula chakula private. Nitampikia kitafunwa simple tu πŸ˜‰" Niliongea kisha ni kashika viazi. Nilihitaji kumtengenezea huyu mtu Chips masala

Wakati nakata viazi nilijikuta ni kimkumbuka my twin brother, always alivutiwa na style yangu ya umenyaji wa viazi

Nilikuja kushtuka watu wote wako midomo wazi kwa namna nilivyokuwa nimelitawala jiko πŸ˜…
Kufumba na kufumbua nilikuwa mlangoni kwa General Colby.

Niliingia baada ya kuruhusiwa, macho yake makali yalitaka kunitisha lakini kwa kuwa nilihitaji awe mteja wetu niliweka chips masala mezani πŸ˜’

Alichukua umma akaonja kidogo πŸ™„,

"Nimeshiba unaweza kukirudisha " General Colby aliongea😩
Nilibeba hotpot nikiwa na huzuni, ile nataka kufungua mlango nisepe alinirudisha

Folks πŸ˜… nilifurahi ndani ya moyo wangu baada ya hotpot kubaki jeupe

"Karibu katika mgahawa wetu, siku ya kesho kutakuwa na ofa kwa wateja kumi wa mwanzo πŸ˜‰" Niliongea

Kabla General Colby hajajibu, Head Chef Cherry aliingia akiwa kabeba hotpot 😩

*Imeandaliwa na Baby Smile whatsap-vodacom 0794-440-997 | Mwita Magesa*
Itaendelea πŸ’₯
 
MASTER OF SNACKS πŸ‘πŸ” 04
MTUNZI;
HUSQER BALTAZAR

0657762790

"Ooh nimechelewa kukuletea chakula, am sorry πŸ–οΈ" Cherry aliongea

"Siyo jukumu lako kuhakikisha Mimi nimekula, don't forget kama wote hapa ni Waajiriwa tofauti yetu ni vyeo tu πŸ–οΈ" General Colby aliongea

Nilimuona Cherry akidhurika kwa jibu kavu alilolopatiwa though alijitia kutabasamu

"Proud ya Chef's wote duniani ni kuona watu wote wanakula chakula chao, that's why unaweza kuhisi Chef Cherry anabeba jukumu la Mama yako but you're wrong yuko hapa kutetea proud yake πŸ–οΈ" Niliongea

General Colby alicheka na hata akanirushia kalamu aliyokuwa anaandikia πŸ˜… ni wazi jibu langu lilimfurahisha

Mimi na Cherry tuliondoka....tukiwa katika kutembea Head Chef alifunga break ghafla as if farasi kakutana na hatari 🧐

"Nipatie kalamu aliyokupatia General Colby.....unaweza kuhisi kakuzadiwa but siku ofisi yao ikiishiwa kalamu atakarudia and am not sure kama utakuwa nayo bado πŸ€—" Cherry aliongea

Sikuwa na shida kabisa katika hili, nilimkabidhi nikataka kuendelea na safari lakini alinirudisha akanikabidhi hot pot yake

"Head Chef pekee tu ndio ana ruhusiwa kuandaa chakula cha General Colby.... usije kurudia hili kosa tena πŸ–οΈ" Cherry alinikumbusha

"Sorry sikulijua hilo...." Nilijitetea

Cherry aliondoka akaniacha nikiwa nimesimama

"Head Chef anampenda sana General Colby but bahati mbaya huyu Mwanaume hana tamaa naye πŸ˜…, kama utaanza kuonesha interest kwa General Colby utafukuzwa kazi bila taarifa πŸ–οΈ" Sauti ya Coco ilinishtua

Macho yake yalionekana kutaka hot pot ya Cherry sikuwa na shida nilimpatia.

"Unajua huko nje kuna Daktari handsome sana anampenda Cherry kwa muda mrefu but hajawahi kumpa nafasi, nasikia huyo Daktari ndio sababu ya yeye kuwa Head Chef" Coco aliongea huku akibugia chakula

"Why?....kitu gani kikubwa alitenda" Niliuliza safari hii nilisimama

"Alimletea Kitabu Cha Vitafunwa....wiki tatu zilikuwa nyingi alipandishwa cheo" Coco aliongea

"Kitabu hicho kinaitwaje πŸ™„" Niliuliza nikiwa na shauku

"Menu Maven kama sisahau, huyo Doctor wake anaitwa Tom Vin ...πŸ–οΈ" Coco aliongea kisha akaondoka kwa kukimbia baada ya kukumbuka anatakiwa kwenda hospitali πŸ₯Ά

Hasira zangu zote zilielekea kwa Tom Vin na hata nikajikuta nalia 😭....pekee yake ndio alikuwa anaingia chumbani kwa my twin brother, how dares aliiba kitabu chetu.... uchungu ulizidi kiasi cha kulala chali chini 😭

"Nitafurahi kama utaniletea chakula cha mchana 🧐" Sauti ya General Colby ilisikika 😡

Imeandaliwa na Baby Smile whatsap-vodacom 0794-440-997 | Mwita Magesa
Itaendelea πŸ’₯
 
MASTER OF SNACKS πŸ‘πŸ” 05
HUSQER BALTAZAR

0657762790

"General Colby.... itapendeza zaidi kama utajisalimisha kwenye mgahawa wetu πŸ€—" Niliongea baada ya kukurupuka chini na hata nikasahau kama nilikuwa nalia 😭

"Chips masala ilinivutia nina uhakika uliandaa wewe... niletee chakula kingine mida ya saa saba kamili, kama utachelewa kidogo don't come πŸ–οΈ" General Colby aliongea kisha akaondoka, mwendo wake ulikuwa ni wa kihuni na hata ni kajikuta na cheka kwa sauti πŸ˜…

Mdomo uliniponza 😩 sielewi General Colby alinirudia saa ngapi

"Ni kitu gani nimezungumza tofauti mpaka ucheke😠....kumcheka mtu ni kosa la jinai, naelekea hospitalini nifuate ukiwa unaruka kichura chura.... hakikisha hizo hotpot huziachi πŸ–οΈ" General Colby aliongea kisha akaongoza njia

Folks 😭.... nilianza kuruka kichura huku both hands zikiwa zimebeba hotpot. Ilikuwa ni adhabu ngumu. Nilihisi kama kizazi kinatoka πŸ˜’

Bahati nzuri hospitali ya Jeshi la Kunguru weusi haikuwa mbali πŸ˜₯

"Simama hapo hapo, hakikisha una kaa mguu pande mpaka nitakaporudi πŸ–οΈ" General Colby aliongea kisha akaingia ndani ya hospitali

Nilikaa mguu pande kama nilivyo amrishwa 🧐

"Sultana...." Sauti ya Tom Vin ilinishtua, niligeuka kwa haraka kwa sababu nilikuwa na haja ya kumuona sana πŸ₯Ά

"Kama si my twin brother kubuni maswali ya mtihani wenu wa mwisho sidhani kama leo ungeitwa Daktari 😠....kwa sababu ya upofu wako my brother alipoteza maisha, huyo mwanamke ana nini hasa mpaka ukaiba kitabu cha Baba yangu πŸ₯Ά" Nilifoka

Tom Vin alishtuka kupita kiasi, mdomo wake ulikuwa mzito kiasi cha kushindwa kuongea

"Hicho kitabu kilikuwa chanzo cha mafanikio ya familia yetu. Hata ukikirudisha my twin brother hawezi kurudi. I will prove to you kuwa Mimi ni Master of Snacks πŸ‘πŸ§†....bila hata kuangalizia kitabu 😠" Niliongea

Folks πŸ₯Ά General Colby alikuja, sikuwa mguu pande kama alivyo niambia

"Tunarudi kambini, naomba unifuate ukiwa unaruka kichura chura tena....beba huu mzigo, endapo utadondoka chini nitakut*mba na kidole 😠" General Colby aliongea kisha akaongoza njia na mwendo wake wa kihuni

Nilitamani kufa sababu ya maumivu niliyokuwa nayasikia 😭....
Tulifika kambini nikiwa nimechoka sana....nilimkabidhi mzigo wake

"Saa saba imekaribia make sure unaniletea chakula πŸ–οΈ unaweza kuondoka" General Colby aliongea

Niliondoka nikiwa natembea kama mtu aliyebakwa na tembo mzee 😭

Coco alinipokea kwa shauku ya kutaka kujua nini kimetokea πŸ€ͺ

Sikuwa na jibu la kumpa, kichwa changu kiliwaza nitamuwekea kitu gani General Colby kwenye hotpot 😩

Kwa muonekano tu si mtu wa kupenda kula vitu vizito.
Zilisalia dakika 10 ifike saa saba kamili.
Nilikata kata matunda mchanganyiko kisha nikaweka kwenye kikombe kizuri kupita vyote hapa jikoni πŸ–οΈ

This time sikubeba hotpot, niliondoka haraka....sikutaka hata kugonga hodi kwa sababu ilisalia sekunde moja ifike saa saba kamili.

"Fruits cup ndio itakuwa lunch yako 😠" Niliongea nikiwa nimekasirika

Cha ajabu General Colby alifurahia, nilikaa kwenye kochi mpaka amalize kula.... sikumbuki hata nini kilitokea nilikuja kushtuka giza likuwa limeingia.

Niliogopa sana baada ya kugundua, General Colby kanifungia ofisini kwake....

"Wanasema usimuashe aliyelala....sitakuepo wiki nzima I hope utafia ofisini kwangu πŸ–οΈ" General Colby aliniachia ujumbe kwenye kikombe kilichokuwa na matunda

Imeandaliwa na Baby Smile whatsap-vodacom 0794-440-997 | Mwita Magesa

Itaendelea πŸ’₯
 
MASTER OF SNACKS πŸ‘πŸ§† 06
MTUNZI;
HUSQER BALTAZAR

0657762790

Mpaka siku saba ziishe nitakuwa skeleton tayari 😭....sikuona sababu ya kuwa mwema kwa hii ofisi. Since nitakufa taratibu nilianza kuharibu ukuta wa ofisi yake kwa kuchora vitafunwa navyo vipenda

Nilivaa magwanda yake yaliyokuwa kwenye kabati kisha ni kakaa kwenye kiti kusubiria kifo 😭

Guys πŸ˜‚ hata dakika 30 hazikupita, mlango ulifunguliwa.

General Colby aliniangalia kwa mshangao 🧐

"Nilitaka tu kupima nidhamu yako.....sikujua kama akili yako ni mbovu namna hiyo. Vua haraka magwanda yangu yanatakiwa kufuliwa sasa hivi 😠" General Colby aliongea

Sikujua naenda kuvulia wapi nilitamani atoke nje lakini alikuwa kanisimamia 😩
Nilivua haraka huku ni kitetemeka.....huyu Mwanaume hakuwa na aibu kila ni kimchungulia tulikutana macho😡

Nilimpatia magwanda yake kisha ni karudi kuvaa za kwangu 😩

"Kesho ni weekend.....sijui utaandaa vitu vizuri saa ngapi lakini kuna mtu muhimu sana nitaenda kumuona saa nne asubuhi, anapendelea vitu vya sukari....nitafurahi ukinisindikiza kwa sababu ni msumbufu πŸ–οΈ hakikisha unanizuia mikono yangu nisije kumtoa macho na ndio sababu nataka unisindikize....nenda ukalale" General Colby aliongea

Niliondoka nikiwa siamini kama nimesameheka 😱..... kuvua na kuvaa mbele yake hakukunipa shida hata kidogo

Niliingia chumbani kupumzika, nilishangaa kumkuta Coco yupo macho bado

"Hakika wewe ni mrahisi sana, hujamaliza hata mwezi tayari umeanza kutembea na General Colby πŸ–οΈ hakika umetisha....nakuogopa" Coco aliongea

"Bila shaka, mabinti wengi hapa mnatamani kut*mbeka na huyo mtu 😏....nadhani huu ni wivu na si kunishangaa" Niliongea

Ghafla tu Head Chef Cherry alitoka uvunguni mwa kitanda 😩 ndipo nilishtuka kuwa swali la Coco lilikuwa ni mtego

"Vua chupi yako nitajihakikishia mwenyewe kama kweli mmet*mbana 😠" Cherry aliongea

Nilijikuta ni kiogopa hasa ni kifikiria ni njia gani anataka kuitumia kupima sehemu zangu 😡

"Waite Wanajeshi wa zamu wamtoe nje kuanzia leo si Mpishi wa hapa πŸ–οΈ" Cherry aliongea

Kusikia hivi nilivua chupi haraka kisha ni kaweka mguu mmoja mashariki mwingine magharibi bila kufundishwa 🀣....bado nilihitaji kuwa hapa

Head Chef Cherry aliziangalia sehemu zangu kwa umakini....baada ya kujiridhisha aliondoka bila kuongea chochote πŸ–οΈ

"Am sorry sikuwa na namna....πŸ˜’" Coco aliongea akinishusha miguu

"It's okay.....😭" Niliongea, ndani ya moyo wangu nilijihisi kudhalilika sana

"General Colby si mtu wa kuzoeana sana na Wapishi wa kike πŸ–οΈ... imekuwa bahati sana kwako. Pengine ndio sababu Cherry ana sikia makasiriko" Coco aliongea

"Mimi na General Colby hatuna uhusiano mzuri....muda wote na tekeleza tu adhabu zake 😡 nashangaa hata na vyoonekana na faidi" Niliongea

"Watu wengi hapa wanazitamani hata hizo adhabu lakini hawazipati πŸ˜’.... General Colby ni very handsome 😍.... nasikia mtoto wake ni mrembo kama Malaika, kuna Chef mmoja tu wa kike aliwahi kutembea naye bahati mbaya alihamishwa.... sikuwahi kusikia tena scandal kuhusu General Colby πŸ–οΈ" Coco aliongea

Nilijifunika shuka huku nikisikilizia maumivu ya miguu... adhabu ya kichura chura ilinitesa πŸ˜₯

Kulivyo pambazuka, nilifanya majukumu yangu baada ya hapo nilianza kuandaa vitafunwa vyenye sukari.

Kwa mara ya kwanza kabisa General Colby alinifuata jikoni 😡
Wapishi wote walitetemeka wakijua ni ukaguzi wa ghafla

"Head Chef.... nitaondoka na huyu binti, na kuahidi kumrejesha salama πŸ–οΈ" Colby aliniombea ruhusa

"Hukuwa na haja ya kuomba ruhusa kwa sababu Camp hii yote ipo chini yako 😊" Cherry aliongea huku akiachia tabasamu

Nilibeba snacks nilizoandaa kisha ni kafuatana na General Colby πŸ–οΈ.... tuliingia kwenye gari

"Mtoto wangu ni selective sana.... huwezi kwenda na huo muonekano, tutapita kwenye maduka ya nguo ya kike....ni lazima upendeze kuanzia kichwani hadi mguuni πŸ–οΈ" General Colby aliongea huku akigonga kichwa changu na funguo

"Sina pesa ya kupendeza namna ulivyosema.... it's better ukitafuta mtu mwingine 😁" Nilishauri

"Don't worry kuhusu gharama..... nioneshe vitu ulivyoandaa πŸ–οΈ" General Colby aliongea akataka kufunua boksi nilimpiga mkono wake

Alinitazama kwa macho ya mshangao 🧐.....ndipo nilishtuka kuwa nimetenda kosa la jinai 😡
Nilifunua boksi ajionee.... alianza kuonja kidogo kidogo. Tulikuja kushtuka boksi lipo empty 🀣

Imeandaliwa na Baby Smile whatsap-vodacom 0794-440-997 | Mwita Magesa

Itaendelea πŸ’₯
 
MASTER OF SNACKS πŸ‘πŸ” 07
MTUNZI;
HUSQER BALTAZAR

0657762790

"Ulipaswa kunizuia mkono wangu....acha turudi tu Kambini hatuwezi kwenda mikono tupu πŸ–οΈ" General Colby aliongea akionekana kunilaumu

"Laumu mdomo wako...na hata umenishangaza kwani hujui kama chovya chovya haumaliza buyu la asali πŸ₯Ά" Nilijikuta ni kimpandishia sauti

"Hiyo sauti ni Mimi unimenipazia 🧐" General Colby aliongea huku akiangaza macho yake huku na kule aone kama kuna mtu mwingine ndani ya gari gari

"Ni....ni... samehe 😩" Niliongea

General Colby hakuongea chochote, tulifika kwenye duka kubwa la nguo za kike tu....naweza kuliita duka changanyikeni kwa sababu lilikuwa na saluni ya kike pamoja na sehemu ya kutengeneza kucha

Nilionekana kama Malkia kwa wahudumu hawa kisa na maana tu nimeambatana na jitu la magwanda....kila nguo niliyovaa General Colby alikataa

"Ni kama mnataka Mimi ndio ni mchagulie nguo....😠" General Colby aliongea kisha akanishika mkono

Sijui alikuwa anatumia ujuzi gani kuchagua nguo, kwani kila aliyokuwa anaishika ilikuwa ni nzuri kuliko chaguo la kwanza

"Vaa hii....sipo tayari kukosana na Ava πŸ–οΈ" General Colby aliongea

Hallooo πŸ€ͺ kioo kilikuwa hakisemi uongo, nilipendeza kupita maelezo.
Nilimuona General Colby akiduwaa kunitazama....sikuwa na cha kumsaidia zaidi ya kutabasamu
Ghafla tu alishikwa na kwikwi na hata sikujua imesababishwa na nini

Mara nyingi huwa natumia 20000 kupendeza kuanzia kichwani hadi miguuni πŸ˜€. Lakini siku ya leo shilingi laki tano zilimtoka General Colby na hata akawaachia laki moja ya maji wauzaji

"Twende supermarket nitachukua Snacks na bites zilizokwisha kutengenezwa kisha nitazitengeneza kwa mara ya pili πŸ˜‰" Nilipendekeza

"Umenikonyeza Mimi 🧐" General Colby alimind

"Sa...sa... samahani 😡" Nilijitetea

Hakuongeza neno, aliendesha gari mpaka maeneo ya Supermarket.
Kitendo cha kushusha tu mguu wangu kwenye gari niligeuka kuwa kivutio...watu wote waliokuwa maeneo haya walinishangaa πŸ€ͺ

Tuliingia Supermarket ni kaanza kuchagua vitu nilivyoamini Ava ata vifurahia.

Bahati mbaya nilijikwaa na hewa....nasema hivi kwa sababu kulikuwa hamna kitu cha kufanya ni jikwae πŸ˜€

General Colby alinidaka....I don't know huyu mtu ana shida gani, kwani baada ya macho yetu kugongana alishikwa na kwikwi 😩

"Ni kama unaniambia tungenunua viatu vyenye macho.... usirudie kujikwaa πŸ–οΈ" General Colby aliongea kisha akaniachia

Bado nilisikia kwikwi ikimsumbua.....sikutaka ateseke nilichana karatasi kidogo iliyokuwa kwenye beba taka, niliilamba na mate kisha ni kaibandika kwenye paji la uso wake kwa kushtukiza πŸ˜€

"Tangu ni zaliwe sijawahi kuona couples nzuri kama yenu..... hakikisha mnazaa watoto wengi kabla sijazeeka zaidi ya hapa πŸ₯°" Bibi kizee aliyekuwa ana chagua vitu aliongea

General Colby aliondoka bila kuongea kitu, nilimfuata kwa nyuma mpaka kwa cashier

"Ulipaswa ukanushe maneno yake na si kunifuata Mimi 🧐" General Colby aliongea

Nilipiga hatua nirudi kukanusha maneno ya Bibi kizee, bahati mbaya nilijikwaa tena 😩
Safari hii General Colby hakushughulika kunisaidia aliniacha ni kaanguka chini

Imeandaliwa na Baby Smile whatsap-vodacom 0794-440-997 | Mwita Magesa

Itaendelea πŸ’₯
 
Back
Top