Je, unafahamu wimbo wa Taifa wa Afrika ya kusini (South Africa)
Umeundwa kwa lugha tano tofauti yaani Xhosa na Zulu (ubeti wa kwanza), Sesotho (ubeti wa pili), Afrikaans (ubeti wa tatu), na Kingereza (ubeti wa mwisho)
Chini kwenye picha ni wimbo wenyewe
Elon Musk amedai kuwa huduma yake ya mtandao wa satelaiti, Starlink, hairuhusiwi kufanya kazi Afrika Kusini kwa sababu ya rangi yake. Hii inatokana na masharti ya kisheria yanayotaka kampuni katika sekta kama mawasiliano kuwa na angalau 30% ya umiliki wa makundi yaliyoathirika kihistoria, kama...