Kasomi JT Founder Feb 17, 2026 #1 Je, unafahamu wimbo wa Taifa wa Afrika ya kusini (South Africa) Umeundwa kwa lugha tano tofauti yaani Xhosa na Zulu (ubeti wa kwanza), Sesotho (ubeti wa pili), Afrikaans (ubeti wa tatu), na Kingereza (ubeti wa mwisho) Chini kwenye picha ni wimbo wenyewe
Je, unafahamu wimbo wa Taifa wa Afrika ya kusini (South Africa) Umeundwa kwa lugha tano tofauti yaani Xhosa na Zulu (ubeti wa kwanza), Sesotho (ubeti wa pili), Afrikaans (ubeti wa tatu), na Kingereza (ubeti wa mwisho) Chini kwenye picha ni wimbo wenyewe