Utofauti wa supp, carry, resit na disco pamoja na sababu za kila hali.
1. Supp (Supplementary Exam)
- Supp ni mtihani wa ziada au wa kurudia, ambao mwanafunzi anapewa fursa ya kufanya mitihani tena baada ya kushindwa kufaulu somo au masomo kadhaa katika mitihani ya kawaida. Katika hali hii...