Advertise here

tamisemi

  1. Kasomi

    Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2025/2026 TAMISEMI

    Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano, 2025 TAMISEMI Form Five Selection | Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 – Mwongozo Kamili kutoka TAMISEMI. Majina ya wanafunzi waliofaulu na kupangiwa kuingia Mwaka wa 5 kwa mwaka wa masomo 2025/2026 ni miongoni mwa taarifa...
  2. Kasomi

    Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye, Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu. Akizungumza na...
  3. Kasomi

    TAMISEMI: Muhula wa kwanza kidato cha Tano kuanza June 13

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa leo ametangaza matokeo ya uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga na kidato cha tano Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Elimu ya Ufundi May 2022 "Muhula wa kwanza kwa Wanafunzi wa kidato cha tano utaanza tarehe 13 Juni, 2022, hivyo, Wanafunzi wote waliopangwa kujiunga...
  4. Kasomi

    Selection za kidato cha Tano zatoka; Wanafunzi 14, 254 wamekosa Nafasi

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa leo amesema "Kwa kuangalia takwimu za mwaka 2022, kumekuwa na ongezeko la Wasichana 7,555 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na Vyuo vya Ufundi ukilinganisha na mwaka 2021, hata hivyo idadi hii bado ni ndogo kulinganisha na Wavulana, ili kukabiliana...
  5. Kasomi

    Bashungwa: TAMISEMI inatoa fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne, mwaka 2021 kubadili machaguo yao

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa amesema TAMISEMI inatoa fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne, mwaka 2021 kubadili machaguo yao ili kutoa mwanya kwa Mwanafunzi kusoma tahasusi (combination) au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu fulani katika maisha yake ya baadaye kwa namna ambayo...
Back
Top