Habari za hivi punde kutoka Lindi zinaeleza kuwa jengo la ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Lindi limekumbwa na moto mkubwa leo asubuhi, Julai 20, 2025. Moto huo umeanza kuwaka majira ya saa tatu asubuhi, na mpaka sasa chanzo chake bado hakijafahamika.
Jeshi la Zimamoto na...