Kasomi
JT Founder
TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
Unaweza kutumia Remote (CIU) ya jirani yako kutatua changamoto hiyo.
Kwanza hakikisha unajua Meter namba yako inaanza na zipi hasa zile namba mbili za Mwanzo mfano kuna meter zinaanza na 22, 24, 37, 4300, 4302, 54, 14 na Nyingine.
Hiyo 22 sitoigusa kwa sababu
hiyo ni zile za ukutani tu hazina CIU.
kama Namba yako ya Meter inaanza na 24 tafuta jirani yako ambaye nae inaanza na 24 alafu ingiza code hizi kwenye Remote ya jirani yako
0+namba ya meter ya kwako+0+ namba ya Meter ya kwako + OK
mfano 024315613912024315613912 OK
Remote yako itaandika good baada ya hapo ingiza token zako za umeme.
Hapo utakuwa umewaka.
Kama namba yako ya Meter inaanza na 37, chukua namba ya meter ya jirani yako inayoanza na 37 then ingiza code hizi
59698686 + Namba ya Meter yako + OK
baada ya hapo ingiza token zako
Kama Meter yako inaanza na 4300
Chukua remote (CIU) ya jirani yako inayoanza na 4300
Ingiza code hizi
2901 + METER NAMBA OK
Itakwandikia good baada ya hapo ingiza token za umeme
Kama Namba yako ya Meter inaanza na 43 au 4302 tumia code hizi chini
755304 + mn+ OK
Kama Meter namba yako inaanza na 54 tumia code hizo hapo chini kuingiza kwenye remote ya jirani yako inayoanza na 54
1593570 + mn+OK
Baada ya hapo ingiza umeme wako utaona umekubali uooooo.
Kama meter namba yako inaanza na 14
Tafuta remote ya jirani yako ambaye
Namba mbili za mwanzo zinafana na zako alafu ingiza code hizi
865+mn+ OK
Baada ya hapa ingiza token za umeme ulizo nunua.
Mwisho ili jirani yako aendelee kutumia CIU yake hakikisha unapo maliza kuitumia basi ingiza code husika ikifwatiwa na namba yake ya Meter then OK.