tanzia

  1. Kasomi

    TANZIA Msanii Spack afariki Dunia

    Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba almaarufu 'Spack', amefariki dunia leo Aprili 27, 2026 nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam alipokuwa anapoishi. Meneja wa msanii huyo Abdulrahman Hassan almaarufu Malefti amethitibitisha kifo cha msanii huyo aliyejipatia umaarufu mkubwa...
  2. Kasomi

    TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege amefariki Dunia

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege, amefariki Dunia, Machi 30, 2026 akiwa hospitali ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Enzi za uhai wake Bwege amewahi kutumikia...
  3. Kasomi

    TANZIA Jenista Joakim Mhagama afariki Dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea leo December 11, 2025 Jijini Dodoma. "Kwa masikitiko makubwa, naomba kutangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama...
  4. Kasomi

    TANZIA Mzee Samatta afariki Dunia

    NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta...
  5. Kasomi

    TANZIA Rais wa zamani wa kenya emilio mwai kibaki afariki dunia

    Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Uhuru Kenyata ametangaza muda mfupi uliopita kupitia runinga mbalimbali nchini Kenya. Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kutoka mwaka 2002 hadi 2013. Rais Uhuru Kenyatta amesema kiongozi huyo wa zamani...
  6. Kasomi

    TANZIA Mwanamuziki maunda zorro afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam. Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa...
  7. Kasomi

    TANZIA Balozi Emanuel Ole Naiko afariki Dunia Dar

    Familia ya Emmanuel Ole Naiko inasikitika kutangaza kifo cha BABA YAO, BALOZI EMMANUEL OLE NAIKO kilichotokea leo 30/03/22, nyumbani kwake Bahari Beach, Dar es Salaam. Habari ziwafikie wana familia waliopo Dar es Salaam, Monduli-Arusha na kwengine kote. Balozi Ole-Naiko amewahi kushika...
  8. Kasomi

    TANZIA Prof. Honest Ngowi afariki Dunia

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka ametangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kwenda Kampasi Kuu Morogoro. "Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya tukio...
Back
Top