Februari 17, 2025, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu Tanzania pamoja na mwanamuziki Omary Nyembo maarufu kwa jina la Ommy Dimpoz ambaye ni muanzilishi wa Tuzo za Wachekeshaji Tanzania, -Tanzania Comedy Awards (TCA), waliweka hadharani muonekano wa tuzo hizo...