Kasomi
JT Founder
Februari 17, 2025, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu Tanzania pamoja na mwanamuziki Omary Nyembo maarufu kwa jina la Ommy Dimpoz ambaye ni muanzilishi wa Tuzo za Wachekeshaji Tanzania, -Tanzania Comedy Awards (TCA), waliweka hadharani muonekano wa tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa Februari 22, 2025.
Tuzo hizo zinashirikisha wachekeshaji mbalimbali kutoka nchi nzima wakiwemo wakongwe na wa sasa, ambao wanashindana katika vipengele tofauti tofauti.
Tuzo hizo zinashirikisha wachekeshaji mbalimbali kutoka nchi nzima wakiwemo wakongwe na wa sasa, ambao wanashindana katika vipengele tofauti tofauti.