tff

  1. Kasomi

    Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania TFF limetoa kikosi cha timu ya taifa

    Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania 🇹🇿 TFF limetoa kikosi cha timu ya taifa hilo kilichoitwa na kocha mkuu Hemed Suleiman Moroco. 📷 Tanzania Football Federation
  2. Kasomi

    TFF yavifungia Viwanja vya CCM Kirumba-Mwanza, Jamhuri Dodoma pamoja na CCM LITI-Singida

    MICHEZO: Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limevifungia Viwanja vya CCM Kirumba-Mwanza, Jamhuri Dodoma pamoja na CCM LITI-Singida kutokana na miundombinu ya Viwanja hivyo kutokidhi matakwa ya kikanuni. Baada ya maamuzi hayo, timu zinazotumia viwanja hivo kwa michezo ya nyumbani...
  3. Kasomi

    Hans Rafael: Barua ya Simba Kususia Mechi ya Dabi na Yanga Ina Maswali Mengi

    Nimesoma vizuri barua ya Simba Ila kuna sehemu Kama mbili wameniacha njia panda. 1. “Katika Sintofahamu hiyo, Simba iliarifiwa na Meneja wa Uwanja kuwa hana maelekezo ya kuruhusu mazoezi kufanyika bila maelekezo ya kamishna wa Mchezo” Kupitia huu mstari ni wazi Simba hawajazuiliwa na mabaunsa...
Back
Top