TFF yavifungia Viwanja vya CCM Kirumba-Mwanza, Jamhuri Dodoma pamoja na CCM LITI-Singida

Kasomi

JT Founder
MICHEZO: Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limevifungia Viwanja vya CCM Kirumba-Mwanza, Jamhuri Dodoma pamoja na CCM LITI-Singida kutokana na miundombinu ya Viwanja hivyo kutokidhi matakwa ya kikanuni.
1741591637833.jpg

Baada ya maamuzi hayo, timu zinazotumia viwanja hivo kwa michezo ya nyumbani zitalazimika kutumia Viwanja vingine kama kanuni inavyoelekeza mpaka pale viwanja vyao vitakapofunguliwa baada ya kufanyiwa marekebisho na kukaguliwa na TFF.
 
Back
Top