tovuti

  1. Kasomi

    Mabadiliko Makubwa: Tovuti Maarufu ya Remove.bg Kufungwa na kuhamia Rasmi Canva

    Mabadiliko Makubwa: Tovuti Maarufu ya Remove.bg Kufungwa, kuhamia Rasmi Canva! Ikiwa wewe ni mbunifu wa picha, mfanyabiashara wa mtandaoni, au mtu yeyote anayependa kuhariri picha, bila shaka unaifahamu tovuti ya remove.bg. Kwa miaka mingi, tovuti hii imekuwa mkombozi wa wengi kwa kuondoa...
  2. Kasomi

    Jinsi ya kupakia tovuti kwenye Vercel kupitia GitHub hatua kwa hatua

    Jinsi ya kupakia tovuti kwenye Vercel kupitia GitHub: Hatua ya 1: Kutengeneza Repository Kwenye GitHub Anafungua GitHub, anatengeneza repository mpya, anaipa jina (mfano: demo_vercel), na kubofya "Create repository". Hatua ya 2: Kupakia Faili za Mradi Kwenye GitHub Anafungua folda ya mradi...
  3. Kasomi

    Mwanzilishi wa tovuti maarufu ya NetNaija, Emmanuel Analike ameendelea kushikiliwa gerezani

    Mwanzilishi wa tovuti maarufu ya NetNaija, Emmanuel Analike, ameendelea kushikiliwa gerezani baada ya ombi lake la dhamana kukataliwa na Mahakama Kuu ya Abuja. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Mkuu wa mahakama hiyo, Suleiman Liman, katika kesi inayomkabili Analike ya kumiliki, kunakili na kusambaza...
  4. Kasomi

    Tatizo la Website (Tovuti ) Kuwa Nzito Wakati wa Matokeo: Chanzo na Suluhisho

    Shida ya mfumo kuwa mzito au kutofunguka kwenye website wakati matokeo yanapotoka husababishwa na mambo haya kuu: 1. Msongamano wa Watumiaji (High Traffic) Watu wengi wanapojaribu kufungua website kwa wakati mmoja (kwa mfano, wanafunzi wote wakitaka kuona matokeo), server ya website inaweza...
  5. Kasomi

    Tengeneza Tovuti Yako; Jinsi ya kutengeneza tovuti

    Tengeneza Tovuti Yako. Jinsi ya kutengeneza tovuti Kutengeneza tovuti ni hatua kwa hatua, na inaweza kuonekana kuwa ngumu mwanzoni lakini ikifuatwa kwa makini, inaweza kuwa rahisi. Hapa kuna maelezo ya jinsi ya kutengeneza tovuti kwa kutumia hatua kwa hatua. Chagua jina la kikoa na mwenyeji...
Back
Top