Advertise here

tundu lissu

  1. Kasomi

    Mashahidi wa Tundu Lissu watajwa hawa hapa

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya Uhaini inayoendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam, amewaanika Mashahidi wa upande wake katika kesi hiyo. Akiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Lissu...
  2. Kasomi

    Sijahukumiwa kifo lakini nimewekwa eneo la waliohukumiwa kifo - Tundu Lissu

    Chanzo Cha picha: DW Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Tundu Lissu ameileza mahakama kuwa yeye hajahukumiwa hukumu ya kifo lakini pamoja na kuwekwa eneo hilo kinyume cha sheria lakini bado pia haki zake za msiungi zinapuuzwa ikiwemo ya kuabudu pamoja na kufanya...
  3. Kasomi

    Tundu Lissu kufikishwa mahakamani leo jumatatu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maeneleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19, 2025, wakati kesi inayomkabili ikiendelea. Lissu anakabiliwa na kesi mbili ambazo ni kuchapisha taarifa za uongo...
  4. Kasomi

    Kesi ya uhaini dhidi ya Tundu Lissu kusikilizwa Mei 6

    Kesi ya uhaini dhidi ya Tundu Lissu kusikilizwa Mei 6 Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chadema Tundu lisu inatarajiwa kusikilizwa Mei 6 ambapo Lisu anawakilishwa na mawakili 31. Siku hiyo inatarajiwa kuamuliwa ikiwa kesi hiyo itasikilizwa mahakani au kupitia mtandao. Haya yanajiri...
  5. Kasomi

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali Anaandika Faida Potea ✍️ Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila...
Back
Top