Advertise here

ubunge

  1. Kasomi

    Mgombea Ubunge CUF Auawa Kilimanjaro

    HABARI Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za mauaji ya Daudi Wilbard Ntuyehabi, aliyekuwa ni mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Wananchi-CUF katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mauaji hayo yametokea jana Oktoba 7 2025 majira...
  2. Kasomi

    Gambo apigwa chini huku Makonda akipenya kuusaka Ubunge

    Katika mchakato wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwapata wagombea wa Ubunge, jina la Paul Makonda limepenya hatua ya awali ya mchujo ngazi ya wilaya ya Arusha. Kwa upande mwingine, jina la mpinzani wake wa muda mrefu, Mrisho Gambo, halikupitishwa katika ngazi hiyo ya wilaya — hali...
  3. Kasomi

    Luhaga Mpina aenguliwa kugombea Ubunge Jimbo la kisesa

    🟢 Safari ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ndani ya Bunge kupitia CCM huenda ikafikia ukingoni mwaka huu Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametupwa nje ya mbio za kuwania tena ubunge kupitia CCM mwaka huu! 🛑 Taarifa kutoka vikao vya chama ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wa Simiyu...
  4. Kasomi

    Ubunge Jimbo la kilwa kaa la Moto

    UBUNGE JIMBO LA KILWA KAA LA MOTO Ni kweli na haya ni ya kawaida sana jimboni kwangu Kilwa, na hasa Kilwa Kaskazini: Baada ya Kingunge Ngombali Mwiru kuacha kugombea, trend ya wagombea kufa au kupatwa na madhila imekuwa hivi:👇🏾 1. Aligombea bwana Chubi na bwana Mtumbuka kwenye kura za maoni...
Back
Top