uchambuzi

  1. Kasomi

    Uchambuzi wimbo wa Dizasta Vina Ft. Dash - Mwanajua

    Wimbo huu wengi wamekuwa wakihusisha kuwa ulikuwa unaielezea Clods Media, wengine Wakisema Luge Mutahaba na wengine wakisema ni JPM (John Pombe Magufuli) kwamba hapo wimbo ulitoka kabla ya Magufuli kufariki ila ni kama alitabiri yatakayo tokea kwa sababu alieleza sifa zake zote. Lakini kwa...
  2. Kasomi

    Uchambuzi wa kina kuhusu utofauti wa IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

    Uchambuzi wa kina kuhusu utofauti wa IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security. Post hii nimenakili kutoka Mtandaoni ila imeandaliwa hususani Kwa wanafunzi waliomaliza sekondari wakitarajia kwenda vyuoni kusomea kozi za computer ila kwa sababu ya ugeni...
Back
Top