Kasomi
JT Founder
Wimbo huu wengi wamekuwa wakihusisha kuwa ulikuwa unaielezea Clods Media, wengine Wakisema Luge Mutahaba na wengine wakisema ni JPM (John Pombe Magufuli) kwamba hapo wimbo ulitoka kabla ya Magufuli kufariki ila ni kama alitabiri yatakayo tokea kwa sababu alieleza sifa zake zote.
Lakini kwa upande mwingine wimbo huu kiuhalisia ulieleza Sifa ya Jua kama ilivyo Mwanajua.
Hapa chini ni baadhi ya mistari na maelezo kuwa wimbo huu ulikuwa unaelezea Jua...
"Alizaliwa mashariki alifahamika mahali pote"
Hapo zingatia upande ambao jua hutokea alfajiri.
"Alitamalaki nuru ilitua mahali kote"
Hii inajieleza yenyewe.
"Hakuna aliyemgusa kwani alikuwa wa moto sana"
Hii line inaelezea character ya jua.
"Tuliwaonea wivu rafiki zake Mekuli na Veneranda"
Mekuli ni mercury, veneranda ni vernus. Hizi ni sayari zilizo karibu na jua, hivyo kwenye kazi yake ya uandishi kaziweka ni marafiki zake.
"Wazungu walikuja na pozi kibao
Walimkaribia mwisho walibabuka Ngozi zao"
Hii line inaonyesha wana anga wanashindwa kumsogelea kwa sababu ya joto.
"kuna walo'diri kumwita Mungu
Walitukuza walisadiki na kuabudu"
Hii ni kwa wanaoabudu jua.
"Tuliishia kumwona mbali na mwisho kuumia macho"
"Maana alingáa sana kiasi alizificha nyota kama wingu"
"Tulikosea kwani... zile sifa hazivai tena
Imefika jioni na yeye hang'ai tena"
Hapa anaonyesha ilivyofika jioni zile sifa zote za jua zikapotea.
"Najiuliza, alifichwa na ndugu kwenye kaya? Au alinenepa kutoka aliona haya"
Hii ni jioni wanamtafuta jua haonekani tena.
"Nuru yake pahala pote ilitawanyika
Toka mzizima pwani kote alipagawisha
Aliondoka na mwisho alionekana ziwa Tanganyika"
Kigoma kule ndio jua linapozamia "joke" ila utakuwa unajua jua huwa linaishia ziwa tanganyika kigoma huko kwa ukanda wetu.
"Dhahania zimeandikwa alichoka pengine
Aliondoka ili wang'ae nyota wengine"
Hapa ameonyesha kuwa jua ni nyota na anajiuliza usiku ulipofika aliondoka ila wang'ae
nyota wengine? Akimaanisha hizi nyota za usiku.
Hiyo ni baadhi ya mistari kwenye wimbo huo