Advertise here

udom

  1. Kasomi

    UDOM yaongoza Cyber Champions 2025/26 Kitaifa

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeibuka mshindi wa jumla katika shindano la Cyber Champions 2025/26, lililoratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), baada ya kutoa washindi wote wanne wa kitaifa katika mashindano hayo yaliyohusisha wanafunzi kutoka vyuo 29 nchini. Washindi hao kutoka...
  2. Kasomi

    Top ten 10 universities in Tanzania 2024/2025

    This is the current List of Top ten 10 universities in Tanzania 2024 ranked by World Ranking Bodies and the Tanzania Commission for Universities (TCU), all best Top ten 10 universities in Tanzania 2024 are included. Based on the world ranking web of universities, below is the list of best...
  3. Kasomi

    Asili ya UDOM - University of Dodoma (Chuo Kikuu cha Dodoma)

    ASILI YA UDOM - UNIVERSITY OF DODOMA. CHUO KIKUU CHA DODOMA. Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM kilichojengwa kwenye kilima cha Chimwaga Dodoma Ujenzi wake ulianza hivi. Aricard Mulokozi ameshiriki Ujenzi huo toka mwanzo. Kabla ya wazo la UDOM wakati wa Utawala wa mfumo wa chama kimoja cha mapinduzi...
  4. Kasomi

    UDOM Kinara Mashindano ya Usalama Mitandaoni "Cyber Champions"

    Chuo Kikuu cha Dodoma kimeibuka Mshindi wa Kwanza katika Shindano la Tano la Usalama Mtandaoni 2023/24 "Cyber Champions", linaloratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Shindano hilo lilijumuisha washiriki 705 kutoka vyuo 41 vya taasisi za Elimu ya Juu nchini, ambapo kati ya washiriki...
  5. Kasomi

    UDOM, IAA na RUCU Vinara wa Cyberchampions

    Vijana wanne kati ya 600 wameibuka Washindi wa Shindano la “CyberChampions” lililoandaliwa na kuratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) (@tcra_tanzania), likihusisha Vyuo zaidi ya 40 kutoka Taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini. Washindi hao ni Amani Nsemwa kutoka Chuo Kikuu...
Back
Top