ufaransa

  1. Kasomi

    Paka ahukumiwa kifungo cha nyumbani Nchini Ufaransa

    SikiaHii: Paka mmoja nchini Ufaransa amehukumiwa kifungo cha nyumbani baada ya jirani kulalamika kwamba paka huyo alikuwa na tabia ya kurukaruka na kuingia kwenye bustani yake. Mmiliki wa paka huyo, Dominique Valdes kutoka Agde, pwani ya kusini mwa Ufaransa, amesema tabia ya paka wake aitwaye...
  2. Kasomi

    Utata wa Mchoro wa Monalisa - Ufaransa

    UTATA WA MCHORO WA MONALISA -Ufaransa (Nime copy kutoka Mtandaoni) Mchoro wa Monalisa mchoraji wake ni Leonardo Da Vinci. Nitafafanua mambo kadhaa ambayo yanapotoshwa au hayaelezwi sawa sawa na kuwafanya watu wachanganyikiwe na wakose ukweli na kwa tabia ya binadamu wengi huamini wanayosikia...
Back
Top