MOYO WA KWELI
1-5
01
(Baada ya kukutana na Ava, alisahau kama safari ya mapenzi ni udanganyifu mtupu....🥂)
Karibu 🖐️
Si kila mtu unayekutana naye katika maisha ni mdanganyifu, wengine ni faraja ilioletwa duniani kuwa tabasamu kwa watu wengine. Ni wachache sana wanaoamini katika huu kweli...