Makampuni zaidi ya 50 ya teknolojia zikiwemo TCL, Hisense na Skyworth, zimeanzisha teknolojia mpya ya port na waya wa GPMI (General Purpose Media Interface). Teknolojia hii tachukua nafasi ya USB-C, HDMI na DisplayPort katika TV na Monitors kwa kuunganisha uwezo wa video ya kasi ya juu, mtandao...