Kasomi
JT Founder
Makampuni zaidi ya 50 ya teknolojia zikiwemo TCL, Hisense na Skyworth, zimeanzisha teknolojia mpya ya port na waya wa GPMI (General Purpose Media Interface). Teknolojia hii tachukua nafasi ya USB-C, HDMI na DisplayPort katika TV na Monitors kwa kuunganisha uwezo wa video ya kasi ya juu, mtandao wa speed, kuhamisha data kwa speed, na kuchaji kwa kebo moja.
𝗚𝗣𝗠𝗜 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗮𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶
Kwa kutumia GPMI, China inalenga kuwa na udhibiti zaidi wa viwango vya teknolojia badala ya kutegemea viwango kutoka Marekani na Ulaya.
Kampuni zote za China za kutengeneza TV zitaanza kutumia port hii lakini bado zitaendelea kuweka port za HDMI na USB-C lakini ukitaka speed zaidi utatumia kebo na port hii. Pia kampuni za nje ya China ambazo zinauza TV kwa watumiaji wa China zitalazimika kuweka port hii.
_____
Credit Wahili Tek