Advertise here

utekaji

  1. Kasomi

    Nimezungumzia utekaji, Kanisa likafungwa Gwajima afunguka

    Askofu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Josephat Gwajima ambaye kanisa lake limefungwa na serikali ya Tanzania amesema bado haelewi uhusiano uliopo kati ya hotuba yake ya kupinga vitendo vya utekaji na kanisa lake kufungwa. Amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari leo Julai 16...
Back
Top