Sheria na vigezo vya kuweka matangazo.
1- Weka bayana maelezo ya Bidhaa husika inayo uzwa yaani sifa yake.
Mfano Bidhaa ni mpya au imetumika na sifa nyingine kama aina, uwezo, bidhaa ilipo n.k
2- Muuza anapaswa kuweka mawasiliano jinsi ya kumpata, mawasiliano ni pamoja na mawasiliano binafsi...