wachokonozi

  1. Kasomi

    Je, 'Wachokonozi' Mlimchokonoa Nani?

    JE, 'WACHOKONOZI' MLIMCHOKONOA NANI? Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo! Huenda pia jina lenu la kikazi la 'Wachokonozi' linaweza lisiwatambulishe ninyi ni akina nani! Kwa hiyo, hata kutekwa au kupotezwa kwenu kusiwaguse watu wengi wakiwemo vijana wenzenu kwani nimewasikia baadhi vijana...
  2. Kasomi

    Wachokonozi wadaiwa kukamatwa

    Vijana wawili Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la "Wachokonozi" wamevamiwa na watu wenye silaha waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa nyumbani kwao maeneo ya Maji ya Chai, wilayani Arumeru mkoani Arusha. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao walikuja na gari...
Back
Top