Haya ni baadhi ya Maoni ya wadau kuhusu kisiwa hicho;
"Hakuna cha ajabu hapa wala hiki si kisiwa halisi ni imani tu za watu. Hii ni sehemu ya ardhi inayojitengeneza kwenye ghuba ya ziwa kwa kukusanya uchafu kwa muda mrefu ikijumuisha udongo, tope, nyavu za wavuvi n.k kisha mimea kama nyasi na...