WEKA WINDOW 11 MPYA KWENYE PC AMBAYO NOT SUPPORTED !!!
Je unapenda kuinstall window 11 kwenye kifaa chako lakini Changamoto haikubali mean unsupported kutokana na haijakizi vigezo vyote ?
Najua ni moja wapo ya changamoto ya watu wengi sana kutokana na Pc tunazozimiliki ni za kizamani so mambo...