Saikolojia: Ukimpenda mtu ni ngumu kuacha kumpenda.
Mapenzi huchochea sehemu ya ubongo inayohusika na uraibu.
Homoni za Dopamine na Oxytocin hutengeneza "tuzo" ya kihisia, hivyo unapojaribu kuacha, ubongo unapata hali ya "withdrawal" (shauku kali ya kuzidi kumtaka huyo mtu) sawa na mtu...