Advertise here

Saikolojia: Ukimpenda mtu ni ngumu kuacha kumpenda

Kasomi

JT Founder
Saikolojia: Ukimpenda mtu ni ngumu kuacha kumpenda.
1769193296969 (1).jpg

Mapenzi huchochea sehemu ya ubongo inayohusika na uraibu.

Homoni za Dopamine na Oxytocin hutengeneza "tuzo" ya kihisia, hivyo unapojaribu kuacha, ubongo unapata hali ya "withdrawal" (shauku kali ya kuzidi kumtaka huyo mtu) sawa na mtu anayeacha dawa za kulevya.
 

Similar threads

Back
Top