Idadi ya kurasa zote: 195,815 (pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.)
Idadi ya hariri: 1,406,627
Idadi ya watumiaji waliojiandikisha: 75,182
Idadi ya wakabidhi: 15
Idadi ya watumiaji hai: 566 (Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita)
Katika mwezi wa Agosti 2020 wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 1.73 hivi, ambayo ni sawa na mara 55,800 kwa siku au mara 2,326 kila saa. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya.
Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali
hapa kwenye takwimu za makala
(fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015 hapa)
na makala 100 zilizotazamiwa zaidi "Topviews" kwa kipindi fulani.