Kasomi
JT Founder
Huenda Neymar Jr akawa ndiyo mchezaji pekee mwenye kipaji kikubwa lakini alizaliwa katika nyakati mbaya za Miamba wawili wa soka ambao walifanya nyota yake kushindwa kung'aa.
Utawala wa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ulifanya kipaji cha Neymar kutoonekana na hatimaye ameondoka katika soka la ushindani na sasa anakaribia kustaafu bila kuwa na tuzo ya Ballon d'Or.
Huu ndiyo muonekano wake mpya katika Klabu ya Santos FC ya Nchini Kwao Brazil anakokipiga sasa baada ya kurudi kutoka katika majeraha mabaya yaliyokuwa yakimsumbua kwa kipindi kirefu.
A prince who never became a king