Kasomi
JT Founder
Baada ya Kuondoka Konde Gang, rapa Country Boy a.k.a countrywizzy_tz amefungua Record label na Music Company, imepewa jina IAMMUSIC , kupitia katika Mtandao wa Instagram county boy alipost nakusema "Kutokana na jitihada anazozionesha Rais wetu mpendwa,Mama etu kipenzi MH SAMIA SULUHU HASSAN kutoa Nchi yetu inasonga mbele mimi. kama kijana sijataka kubaki nyuma Nimefungua kampuni iitwayo iam music Ambayo itahusika katika kusaidia vijana Mtaani ambao wengi wanataman kutimiza ndoto zao lakin wanashindwa kutimiza Na changamoto wanazokutana nazo hvyo basi Nakuja mbele yenu na Watanzania kwa ujumla kuipokea KAMPUNI hii...".
-
Country, "Hatuna pesa nyingi lakin Tunaamin katika kidogo tulichonacho Kitatuvusha kutoka sehem Moja kwenda Nyingne????????"