Advertise here

Mshambuliaji wa fountain gate princess, adija petro amethibitisha kutelekezwa

Kasomi

JT Founder
MSHAMBULIAJI ATHIBITISHA KUTELEKEZWA CHEMBU
FB_IMG_1650687082532.jpg

Mshambuliaji wa Fountain gate princess, Adija Petro amethibitisha kutelekezwa na timu hiyo baada ya kupata jeraha la goti ambalo anajitibia kienyeji nyumbani na mama yake kwa miezi kadhaa sasa.

Katika maelezo yake mfungaji bora wa TSC Queens msimu uliopita alithibitisha kuwa amekua akiwasiliana na uongozi wa timu hiyo lakini wamekua kimya.

Pia amethibitisha kuwa katika makubaliano ya kimkataba, kiasi walichokubaliana kama hela ya usajili haujatimiziwa kwa asilimia kubwa huku akiwa amelipwa mshahara wa miezi minne ya mwanzo pekee.

Kwasasa huyo yupo kwao Mwanza.
 
Back
Top