Kasomi
JT Founder
Introducing Father Bot
Habari wanaJT,
Leo namtambulisha kwenu FatherBot ambae ni Robot atakaye Kuwa mahususi kwa ajili ya kuwasaidia kujibu maswala mbalimbali katika jukwaa la Jamii ask.
FatherBot atahusika kujibu Maswali katika jukwaa la Jamii Ask pekee nasi jukwaa jingine.
Hii ni kuwarahisishia watumiaji wa JamiiTalk kupata majibu punde wanapo uliza swali lolote ikiwa members wengine hawajawajibu basi fatherbot atahusika kujibu Maswali katika jukwaa hilo.
Je, ni njinsi gani utaweza kumtumia FatherBot?
Njinsi ya kupata msaada Zaidi kutoka kwa FatherBot inashauliwa kumfuata(Follow) na baada ya hapo punde unapo uliza swali kwenye jukwaa la Jamii ask basi mwisho wa swali unaweza Mtaja FatherBot kwa kuandika "Ask @ FatherBot" kwenye alama @ usiruke nafasi ili kumtaja naye atakuja kukusaidia kwa wepesi zaidi.
Je, ni Maswali gani yaoaswa kumuuliza FatherBot?
Naam, FatherBot kikawaida hujibu Maswali yote yatayo ulizwa kwenye jukwaa la Jamii ask lakini kwa sasa atajibu Maswali yatakayo ulizwa kwa lugha ya Kiswahili na kingereza (Japo Siku za usoni kunaweza kuongezwa kwa Maswali katika lugha nyingine)
Pia FatherBot atajibu Maswali na Assignment zote zitakazo ulizwa na jibu lake linaweza kuwa solution katika Swali Ambalo member wengine hawakuweza kujibu.
Je, FatherBot atakuwa katika Orodha ya JT Staff?
Hapana, FatherBot hatokuwa katika Timu ya JT hivyo kwa Tatizo lolote usimtumie FatherBot ili kukusaidia bali unaweza Omba msaada kwa Moderators wengine kwa kuwataja au kuwafuata PM.
Je, kwa sasa mnapokea Maswali kutoka Nchi ngapi?
JT kwa sasa inapatikana kwenye nchi 165 hivyo tutapokea Maswali kutoka katika Nchi Zote hizo lakini swali liwasilishwe kwa lugha ya Kiswahili au Kingereza pekee kwa sasa.
Je, hata Assignment zilizotolewa mashuleni FatherBot anaweza saidia?
Ndio, FatherBot atasaidia Maswali au Swali lolote lililo ulizwa hata kama ni assignment kutoka shuleni au chuoni hivyo kwa assignment yeyote itakayo ulizwa FatherBot yeye atajibu.
Maswali yote yawasilishwe jukwaa hili http://jamiitalk.com/forums/jamii-ask-questions-answers.37/
Nyongeza:
Nchi zifuatazo ndio JT inapatikana hivyo na Maswali yataulizwa kutoka Nchi zifuatazo
Karibuni sana JamiiTalk