Advertise here

Sabato njema

Emmanuel

New member
*"Kuna tofauti moja tu kati ya ndoto na lengo ...*
*Ndoto inahitaji usingizi usio na bidii na lengo linahitaji juhudi zisizo na usingizi ...*
*Lala kwa ajili ya ndoto na uamke kwa lengo."*
*Ishi ukiyakumbuka haya*

*Uwe na siku Njema Sabato njema*
 
Back
Top