Otis
New member
Jambo kwenu!
Leo sitakuwa na mambo mengi ya kuongea, nitaizungumzia series mpya inayokwenda kwa jina la "Murky Stream", hii ni series ya Korea na imeachiwa mwaka 2025, September hii!
Ni series ya pori, na imesetiwa kwenye wakati ambao korea ilikuwa ikifahamika kama Joseon (soma Joson).
Stori yake ipo hivi:
Katika bandari moja maarufu ya Mapo, kuna wafanyabiashara wakubwa ambao wote huripoti kwa ofisa wa jeshi msaidizi kwa jina la Lee, hawa ndio wanaosimamia kila kitu kinachoingia bandarini hapo.
Katika bandari hiyo meli zote zinazofikia hapo na kupakia au kupakua mizigo husimamiwa na "wamiliki" wa bandari, nimewawekea alama ya fungua semi kwakuwa hawa si wamiliki ila ni watu wenye ubabe sana.
Series imekaa vizuri mno.
Ukitaka kujiunga kwenye group letu la Movies na Series bonyeza hii link: Otis Movies