Advertise here

NUKUU

```HESHIMA ni jambo la muhimu sana katika maisha yetu, kama bado wewe unasubiri heshima kutoka kwa wengine ili na wewe uweze kuwaheshimu wao utasubiri sana na huwezi kupata hiyo heshima kamwe. ```

_Darasa Huru_ ????✍????
 
Back
Top