MAMBO 10 YA KUACHA KUYAFANYA

Emmanuel

New member
MAMBO 10 YA KUACHA KUYAFANYA

1. Acha kukimbia matatizo yako kwa kuwa matatizo hayajimalizi jaribu kutafuta suluhu hata kama jambo ni zito, usitoe visingizio


2.Acha kutumia muda wako kwa kushirikiana na watu wenye mtazamo hasi, hakuna utakacho jifunza


3.Acha kujitahidi kuwa kama fulani, kwa sababu huwez kuwa kama yeye labda (utakuwa photocopy yake) jitahidi kuwa wewe


4. Acha kujiongopea (deceiving) utakuwa na fake sucess kwa kuwa utaishi ktk ulimwengu ambao hujafanikiwa kuutengeneza

5.Acha kuahirisha mambo ukijiambia muda haujafika ama bado huna nafas ama huna ujuz wa kufanya anza sasa kuchukua hatua utajifunza vingi kuliko kusubiri

6. Usiruhusu furaha yako itegemee mtu mwingine


7.Acha kujuta kwa mambo yaliyopita (historia) jifunze kujifunza kutokana na past yako

8.Acha kupenda kujilaumu/kulaumu kila jambo

9.Usiishi maisha ya kumlizisha kila mtu ila hakikisha unafanya yaliyo sawa tu hata watu wakisema (huwezi kumlizisha kila mtu)

10.Usiwe mvivu wa kutafatuta maalifa na taarifa sahihi
 
Upvote 1
Back
Top