Advertise here

Wauzaji wa vyombo vya nyumbani, hotelini, mambo na vifaa vyakieletronic Kwa bei rahisi za jumla na rejareja

Kitchen lux oven 48ltr
Bei Tsh 150,000/= Tu
4 noble
IMG-20260228-WA0019.jpg
 
Habari WanaJamiiTalk natumai nyote muwa wazima wa afya, lengo la thread ili ni kupost bidhaa tulizonazo;
• Tunavyombo vya majumbani, hotelini na ofisin, kama Dinner set, sufuria Aina zote, Hotpot n.k
•Tunavifaa vya electronic kama fridge, soundbar,,pressure cooker, oven, brender, microwave, washing machines n.k
•Tunamapambo ya nyumbani na maofisini (home decore za Aina zote)
•Mapazia, mashuka , zulia n.k
•Tunafurniture za kisasa kama coffee table, dressing table, kitchen organizer n.k

Bidhaa zetu tumezingatia ubora kutoka nchi mbalimbali na brand nzuri Mali zote ni mpya Tupo kariakoo tunafanya delivery mikoa yote , Dar unapokea mzigo ndo unalipia.

Wateja wetu wa mikoani utakae tamani kufanya biashara nasi, njia zetu za kuaminiani unaweza kumuagiza mtu afike dukani akuchukulie mzigo, au ukasema tupeleke mzigo ofisi gani ya gari kisha tukifikisha hapo ukaconfirm kwao mzigo umefika hapo ndo unatuma pesa yetu ya mzigo gharama za usafiri ni juu ya mteja

Uaminifu ni kipaumbele chetu
Number Zetu za WhatsApp/ call 0692436124
Au WhatsApp Tu 0716781764

Njia za malipo Lipa no. Voda 50271903 Jina masshele digital
Ukifanya malipo njoo na screenshot ya malipo WhatsApp na bidhaa unahitaji chapu Tunakuhudumia

Pia unaweza kufanya malipo Kwa njia za bank

Karibu ujione picha za bidhaa na bei sehemu ya comment

Karibu sana boss zangu na asante Kwa kuchukua mda wako kufatilia thread hii Shukrani
Picha unge upload vizuri sio kuattach ingependeza
 

Similar threads

Back
Top