Advertise here

Tuishi humu

Emmanuel

New member
JARIBU KUFANYA HAYA: Part 1

Akili ya mwanadamu inaweza kufanya vitu ambavyo haviwez kuonekana kuwa ni halisi katika maisha ya kawaida. unaweza kuifundisha akili yako ili uone mambo mazur hata wakati wa Shida, unaweza kufanya yafuatayo:-

1. Epuka kulalamika ama kunung'unika au kutoa lawama. imekuwa kawaida kusikia 'isingekuwa huyu jamaa ningekuwa mbali kimaisha' hii inaathiri uwezo wa akili kufanya kazi, dont give ur power to others

2 Jaribu uwe rafiki mzuri kwako mwenyewe,unaweza kuwa rafiki Kwa wewe mwenyewe kwasababu wewe ni mtu ambaye unatumia muda mwingi kuwa nawe! jionee huruma, jisamehe ukifanya mamuzi mabaya unaweza ukakaa mbele ya kioo kujiambia hivi "nimekukosea sana naomba unisamehe'

3. unapofanya kosa jiambie hivi
"kosa hili halinifanyi niwe shetani bali litakusaidia kufanya maamuzi yatakayonifanya niwe mtu bora" nb: usifanye makosa kimakusudi
ITAENDELEA... :) :)
 
Back
Top