Hope

*LIPO TUMAINI JIPYA*

Usikate tamaa bado kuna MTU MKUU ndani yako, umezaliwa kuleta impact kwenye dunia kabla ya kurudi ulikotoka, bado kidogo usihitimishe kwamba ndo mwisho bado kuna tumaini kama utaamua kuamini, changamoto zako ni ndogo kuliko wewe.

*GET BIGGER THAN YOUR CHALLENGES.*

Unaona kama umefika mwisho?? Jaribu tena unayo nafasi ya kuinuka tena,

"There is no too late to live your passion" alisema Joel Nanauka November 2019 Mkwawa University College of Education (MUCE) katika semina ya Designing your Future.

Wewe ni MTU MKUU sana katika dunia hii usikubali uchungu, matatizo, magumu au mateso unayopitia Leo yahitimishe hatma yako kuu na ukweli kuhusu wewe, huo ni uhalisia (fact) kwamba uko kwenye mateso lakini sio ukweli (truth) kuhusu wewe, kuhusu kesho yako.

Kesho yako inag'ara????

Hatima yako na Ukweli kuhusu wewe aujua MUNGU pekee aliyekuimba na kukuweka duniani kwa MAKUSUDI KAMILI KABISA.....

....Hakuna mwanadamu yeyote ajuaye sio baba wala mama yako wala ndugu zako wala marafiki zako, wala mwalimu wako, wala mtabiri nyota, wala mpiga ramli, wala boss wako, wala adui yako.

*No eye have seen, no ear have ever heard, no mind have ever conceived what GOD has prepared for those who love HIM.*

Rejea;

*1 Wakorintho 2:9*
"...lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao..."

Wewe ni MTU wa thamani sana katika dunia, thamani yako haipungui kwa sababu Leo watu wanakudharau, kwa sababu watu hawaioni Leo, kwa sababu unapitia wakati mgumu. Kama ni kuwa unayetaka kuwa, utakuwa ila lini utakuwa ni swala LA muda wa MUNGU (rejea makala yangu ya GOD'S TIME IS THE BEST TIME)

You can rise up again, wewe ni MTU MKUU katika dunia hii, jiamini, jikubali songa mbele, umeumbwa ufurahie maisha.

By the way kama unapitia mateso, changamoto, uchungu na unaamini umefika mwisho huoni tumaini mbele yako, unaelekea kukata tamaa


Wekeza kwenye maaarifa
 
Back
Top