Advertise here

Shika buku mbili

Emmanuel

New member
*SHIKA ELFU MBILI HII YA MAJI MWANGALIE MUNGU UTAFANIKIWA!*

Humjui. Hakujui. Na wala hakuna anayekuona.

Huwezi kujua huyo mtu alikuwa anajiuliza atakavyorudi nyumbani kwa mguu. Au hajala anaona bora anywe soda na biskuti apate nguvu kidogo. Anakuona kama MALAIKA….

Anapata moyo. Anaahirisha mawazo mabaya ya kukata tamaa. Au hata ya kujiua! Cause you never know really! Na atakukumbuka for a very long time.

Nakuagiza kwa Jina lake yeye Aliye Juu. Mtafute mtu leo popote hata mtaani.
Mtie moyo. Don't ignore

Kila asomaye post hii akimtia mtu moyo leo basi siku ya leo itakuwa ni kama siku ya kutiana moyo Tanzania. Mtie mtu moyo. Mpigie simu mtu aliyefiwa siku nyingi labda aliondokewa na mwanaye au mzazi wake au mchumba au mke mume au ndugu yake au mtu wake wa muhimu mno

Mwambie umeona umsalimie tu. I am telling you you will make a big difference.

Pia usisahau kuwaombea . Na wengine wote walio karibu sana na kukata tamaa.

*Na ni maombi yangu Mungu akukumbuke na wewe katika shida zako.*
Asikupungukie.

Amen!????
 
Upvote 1
Back
Top