Kasomi
JT Founder
Mfahamu Joel Nanauka
Joel Nanauka (alizaliwa Mtwara, 4 Julai 1983) ni waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Vijana nchini Tanzania kuanzia tarehe 17 Novemba 2025. Uteuzi wake umetokana na sifa zake kama mhamasishaji maarufu, mwandishi wa vitabu 45, na msomi aliyebobea katika masuala ya maendeleo na diplomasia ya uchumi.
Anajulikana kwa kazi yake ya utoaji mafunzo ya uongozi, mara nyingi akitoa hotuba na semina za kuhamasisha watu binafsi na mashirika kufikia malengo yao. Dr. Nanauka ameandika vitabu 45 na ni mzungumzaji maarufu kwenye matukio, akishiriki maarifa kuhusu mada kama vile mafanikio, uongozi, na ukuaji binafsi. Ana ushawishi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii kama YouTube, Instagram, na Facebook, ambapo anashiriki maudhui ya kuhamasisha na kushirikiana na hadhira pana.[1] Watu wanampenda na kumuimba.
Akiwa kidato cha pili 2000 alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora 10 waliofanya vizuri katika kanda ya Mashariki
Mnamo mwaka 2002 kidato cha nne huku akiwa ni mwanafunzi bora kitaifa yaani Tanzania One (TO) akipata ufaulu wa Alama A katika masomo tisa kati ya 10 aliyoyasoma na kufanikiwa kujiunga kidato cha sita hapohapo Kibaha Sekondari.
Alijiunga na chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2005 akisomea shahada ya Biashara na Uongozi na baadae alisoma Stashahada ya Juu ya Diplomasia Ya Uchumi (Post-graduate in Economic Diplomacy) na baadaye kupata Shahada ya Uzamili ya Maendeleo na Uhusiano wa Kimataifa (International Cooperation and Development).
Mwaka 2024 Joel Nanauka alitunikiwa shahada ya heshima ya Uzamivu katika Uongozi na Usimamizi wa Biashara (PhD in Leadership and Business Management) na chuo kikuu cha Veridian kilichopo Atlanta,Georgia nchini Marekani.
Amewahi pia kutunikiwa tuzo ya I-Change Nations iliyotambua mchango wake wa kuleta mabadiliko kwa watu nchini Tanzania. Tuzo hizi zinatolewa na taasisi ya ICN iliyoko nchini Marekani.
Joel Nanauka ni mwanzilishi wa shirika lisilo la kiserikali la Joel Nanauka Foundation lenye maono, lililojitolea kuboresha maisha ya watu wasio na fursa kupitia mipango endelevu, lililojikita katika kutekeleza miradi inayoshughulikia mahitaji ya haraka ya jamii.[3] pia ni waziri wa vijana nchini Tanzania na m bunge wa mtwara mjini.
Pia soma
jamiitalk.com
Joel Nanauka (alizaliwa Mtwara, 4 Julai 1983) ni waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Vijana nchini Tanzania kuanzia tarehe 17 Novemba 2025. Uteuzi wake umetokana na sifa zake kama mhamasishaji maarufu, mwandishi wa vitabu 45, na msomi aliyebobea katika masuala ya maendeleo na diplomasia ya uchumi.
Anajulikana kwa kazi yake ya utoaji mafunzo ya uongozi, mara nyingi akitoa hotuba na semina za kuhamasisha watu binafsi na mashirika kufikia malengo yao. Dr. Nanauka ameandika vitabu 45 na ni mzungumzaji maarufu kwenye matukio, akishiriki maarifa kuhusu mada kama vile mafanikio, uongozi, na ukuaji binafsi. Ana ushawishi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii kama YouTube, Instagram, na Facebook, ambapo anashiriki maudhui ya kuhamasisha na kushirikiana na hadhira pana.[1] Watu wanampenda na kumuimba.
Elimu
Dr. Joel Nanauka alihitimu darasa la saba mwaka 1992, huku akishika nafasi ya 3 kimkoa kama mwanafunzi bora huko kwao mkoani Mtwara na hivyo kuchaguliwa kujiunga na shule ya vipaji Kibaha (Kibaha Secondary School) ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha sita.Akiwa kidato cha pili 2000 alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora 10 waliofanya vizuri katika kanda ya Mashariki
Mnamo mwaka 2002 kidato cha nne huku akiwa ni mwanafunzi bora kitaifa yaani Tanzania One (TO) akipata ufaulu wa Alama A katika masomo tisa kati ya 10 aliyoyasoma na kufanikiwa kujiunga kidato cha sita hapohapo Kibaha Sekondari.
Alijiunga na chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2005 akisomea shahada ya Biashara na Uongozi na baadae alisoma Stashahada ya Juu ya Diplomasia Ya Uchumi (Post-graduate in Economic Diplomacy) na baadaye kupata Shahada ya Uzamili ya Maendeleo na Uhusiano wa Kimataifa (International Cooperation and Development).
Mwaka 2024 Joel Nanauka alitunikiwa shahada ya heshima ya Uzamivu katika Uongozi na Usimamizi wa Biashara (PhD in Leadership and Business Management) na chuo kikuu cha Veridian kilichopo Atlanta,Georgia nchini Marekani.
Maisha
Sky Joel Nanauka ni mme na baba wa watoto watatu wa kike. Mama yake anaitwa Anjela ambaye amewahi kuwa mwalimu mkuu wa shule ya Raha Leo huko Mtwara na baba yake ni mzee Nanauka.Mafanikio
Licha ya kuwa miongoni mwa wanafunzi bora kitaifa, Joel Nanauka amewahi kutajwa kuwa miongoni mwa vijana 100 wenye ushawishi zaidi barani Afrika, akibebwa zaidi na utoaji elimu kuhusu uchumi na uongozi katika majukwaa mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii na vitabu mbalimbali. Joel Nanauka amewahi kuajiliwa katika shirika la umoja wa kimataifa la Elimu , Sayansi na Utamaduni UNESCO.Amewahi pia kutunikiwa tuzo ya I-Change Nations iliyotambua mchango wake wa kuleta mabadiliko kwa watu nchini Tanzania. Tuzo hizi zinatolewa na taasisi ya ICN iliyoko nchini Marekani.
Joel Nanauka ni mwanzilishi wa shirika lisilo la kiserikali la Joel Nanauka Foundation lenye maono, lililojitolea kuboresha maisha ya watu wasio na fursa kupitia mipango endelevu, lililojikita katika kutekeleza miradi inayoshughulikia mahitaji ya haraka ya jamii.[3] pia ni waziri wa vijana nchini Tanzania na m bunge wa mtwara mjini.
Pia soma
Who Is Joel Nanauka?
Joel Arthur Nanauka is a Certified Life Coach, Author and Corporate Trainer. He is a graduate in Business Management and post-graduate in Economic Diplomacy and Leadership. He has been named on 100 List of the Most Influential Young Africans in 2020 on Africa Youth Awards and the most...