Kasomi
JT Founder
Venezuela imekuwa na akiba kubwa ya mafuta ghafi duniani kwa mwaka 2024, ikiwa ni sawa na asili mia 20 ya akiba yote duniani, kwa mujibu wa takwimu za OPEC.
Nchi hiyo inakisiwa kuwa na takriban mapipa ya mafuta bilioni 303 ya akiba.
Serikali ya Trump imekuwa ikidai mara kadhaa kwamba mafuta ya Venezuela yameibiwa kutoka Marekani, akiwa na maana ya utaifishaji wa sekta ya mafuta ya Venezuela mwaka 1976.
Hizi ni baadhi ya nchi zenye kiwango kikubwa cha akiba ya mafuta duniani.

- Venezuela
- Saudi Arabia
- Iran
- Canada
- Iraq
- UAE (Falme za Kiarabu)
- Kuwait
- Urusi (Russia)
- Libya
- US (Marekani)