Advertise here

kubwa

  1. Kasomi

    Gameloft Jina kubwa la michezo ya simu enzi za wahenga

    Kabla ya michezo ya kisasa ya Android na iOS kuwa ya kawaida, kampuni ya Gameloft ilikuwa moja ya majina makubwa zaidi kwenye soko la michezo ya simu miaka ya 2000 hadi mapema 2010. Enzi za simu za Java (keypad phones) na zile za mwanzo zenye touchscreen, Gameloft ilishangaza wengi kwa kutoa...
  2. Kasomi

    Orodha ya Nchi (20) kubwa kieneo Duniani

    Orodha ya Nchi (20) kubwa kieneo Duniani. 1. Russia 🇷🇺 (17 125 191) 2. Canada 🇨🇦. (9 985 000 ) 3. Marekani 🇺🇸 (9 629 091) 4. China 🇨🇳 (9 596 961) 5. Brasil 🇧🇷 (8 515 767) 6. Australia 🇭🇲 (7 699 060) 7. India🇮🇳 (3 287 263) 8. Argentina 🇦🇷 (2 780 400) 9. Kazakhstan 🇰🇿 (2 724 910) 10. Algeria 🇩🇿...
  3. J

    Mafanikio ya asilimia kubwa

    Kamwe usiache kumshukuru mungu Kila unapoiona Leo☀️,kua mtu wakuweka au kutunza kumbukumbu,fikiri kabla yakutenda🤔,jali sana kupata faida na zuia sana hasara nanjia ya kuzitatua🔜 And kamwe usikubali kutoka nje ya ndoto zako.ishi kwenye ndoto zako
  4. Kasomi

    Ifahamu Nchi kubwa zaidi Duniani

    Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani? Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu. Pia Urusi inachukua 11% ya eneo lote la nchi...
  5. Kasomi

    "Tatizo Kubwa la Afrika ni viongozi kutaka kuongoza Milele" - Yoweri Museveni (1986)

    Yoweri Museveni aliwahi kusema "Tatizo la Afrika kwa ujumla, na hasa Uganda, si watu bali ni viongozi wanaotaka kuzidi kukaa madarakani milele." Alisema kauli hii yeye mwenyewe wakati wa hotuba yake ya kwanza siku aliyoingia madarakani Januari 29,1986 Huku akidai kubadilisha tatizo Hilo...
  6. Kasomi

    Je, Wajua noti kubwa ilikuwa Tsh 100 lakini kwa sasa Tsh 10,000 ndio noti kubwa

    Noti kubwa ilikuwa Tsh 100 wakati Mwinyi anaingia madarakani. Miaka 9 baadaye tayari noti kubwa ikawa Tsh 10,000 na Tsh 100 ikawa sarafu ambayo inatumika mpaka sasa kama sarafu Hii ni noti ya Tsh. 100 ya zamani Hii ni noti ya 10,000 ya zamani Na hii ndio Tsh.10,000 ya sasa
  7. Kasomi

    Nchi zenye akiba kubwa ya Mafuta ghafi

    Venezuela imekuwa na akiba kubwa ya mafuta ghafi duniani kwa mwaka 2024, ikiwa ni sawa na asili mia 20 ya akiba yote duniani, kwa mujibu wa takwimu za OPEC. Nchi hiyo inakisiwa kuwa na takriban mapipa ya mafuta bilioni 303 ya akiba. Serikali ya Trump imekuwa ikidai mara kadhaa kwamba mafuta ya...
  8. Kasomi

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Simba Duniani

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Simba Duniani 1. Tanzania: 14,500 2. Afrika Kusini: 3,284 3. Botswana: 3,063 4. Kenya: 2,515 5. Zambia: 2,349 6. Zimbabwe: 1,362 7. Ethiopia: 1,239 8. Sudan Kusini: 866 9. Namibia: 801 10. Msumbiji: 678 Chanzo: World Population Review
  9. Kasomi

    Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya mamilionea wa dola 2025

    Afrika imeelezwa kuwa moja ya kanda zinazokua kwa kasi zaidi katika ustawi binafsi duniani, licha ya baadhi ya nchi kubwa kukabiliwa na changamoto za mgawanyo wa kipato na mali. Kwa mujibu wa Ripoti ya Utajiri Afrika 2025 iliyotolewa na Henley & Partners kwa kushirikiana na New World Wealth...
Back
Top