Ernest Hemingway Mwandishi Nguli wa Novels wa Marekani aliejiua 1961

Kasomi

JT Founder
1768165246164.jpg

Huyu ni Ernest Hemingway Mwandishi Nguli wa Novels wa US, Alijiua July 2, 1961. Baba Yake Mzazi ni Dokt. Clarence Hemingway, Alijiua December 6, 1928. Kaka Yake ni Leicester, Alijiua September 13, 1982. Dada Yake ni Margaux Hemingway, Alijiua July 1, 1996. Mtoto Wake ni Gregory Hemingway Alijiua Oktoba 1, 2001.
Inaelezwa kuwa chanzo cha Gregory kujiua mwenyewe ilikuwa ni stress alizokua nazo baada ya operation yake ya kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke kwenda vibaya, hivyo ilikuwa inamsumbua na kuamua kujiua kwa kujioverdose.

Hata wakati amekamatwa na kufungwa gerezani pia alikuwa amefungwa katika gereza la wanawake huko Florida US kwasababu alijitambulisha kama mwanamke na alikua akijiita Grolia au Vanessa. Huyu alikuwa ni mtoto wa tatu na wa mwisho wa Ernest, na mjukuu wa Clarence Hemingway ambaye alikua Daktari nguli.

Sababu za kukamatwa kwa Gregory ilikuwa ni kufanya fujo huku akiwa uchi katika moja ya party aliyokuwa amehudhuria pamoja na marafiki zake usiku wa Septemba 24, 2001, alifariki wa kujiua siku sita baadaye akiwa katika chumba cha gereza la wanawake la Miami-Dade Florida.

Katika diary yake aliyoiacha kulikua na maandishi yalisomeka kwamba alikuwa amefurahi kukamilisha historia ya familia ya Hemingway. Historia hiyo ni historia ya kujiua. Babu alijua, baba alijiua, baba yake mkubwa alijiua, shangazi yake alijiua na yeye pia akawa amejiua.

Gregory alikuwa amejipandikiza na matiti kabisa pamoja na uke kama kamawaida. Wakati mmoja miaka ya 1990 aliwahi kukiri kuwa kujibadilisha jinsia ulikuwa ni uamuzi bora zaidi kwake kuwahi kuufanya katika maisha yake yote. Gregory aliacha watoto saba.

Lakini pia Leicester Hemingway ni kaka yake na Ernest Hemingway, yeye pia alijiua September 13, 1982 akiwa beach huko Muami Frolida US.

Lakini pia Margaux Hemingway ni dada yake Ernest, yeye pia alijiua July 1, 1996 akiwa katika studio yake huko Sanata Monica Los Angeles US. Inaelezwa kuwa zaidi ya wanafamilia saba katika vizazi tofauti vya familia hii wamefariki kwa kujiua.

Hii ndio ile ukisikia alinunua babu, mpaka mjukuu anaitumia.
 
Back
Top