marekani

  1. Kasomi

    Faustine Mafwele apigwa marufuku kuingia Marekani

    Marekani imetangaza kumwekea vikwazo afisa mwandamizi wa polisi ya Tanzania Faustine Jackson Mafwele kwa tuhuma za ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa raia. Tangazo la uamuzi huo limetolewa na Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Marekani na kuchapishwa rasmi kwenye tovuti ya wizara...
  2. Kasomi

    Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966 Hadi 2026

    Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966 hadi 2026 (1966-1972) 1 USD = 5 TZS, (1973-1975) 1 USD =7 TZS, 1976,,1 USD=12 TZS 1977, 1 USD =12 TZS (1978-82)-1USD-20TZS 1983- 1USD:22 TZS 1984-1 USD: 23TZS 1985- 1USD: 102 TZS 1986- 1USD: 205 TZS...
  3. Kasomi

    Ernest Hemingway Mwandishi Nguli wa Novels wa Marekani aliejiua 1961

    Huyu ni Ernest Hemingway Mwandishi Nguli wa Novels wa US, Alijiua July 2, 1961. Baba Yake Mzazi ni Dokt. Clarence Hemingway, Alijiua December 6, 1928. Kaka Yake ni Leicester, Alijiua September 13, 1982. Dada Yake ni Margaux Hemingway, Alijiua July 1, 1996. Mtoto Wake ni Gregory Hemingway Alijiua...
  4. Kasomi

    Aiba Mafuvu Zaidi ya 100 ya Binadamu Makaburini

    Mwanaume mmoja Nchini Marekani, Jonathan Gerlach (34) amekamatwa na kushtakiwa kwa makosa zaidi ya 300 yakihusisha wizi wa zaidi ya Mafuvu 100 ya Binadamu pamoja na vito vya thamani vilivyoibwa katika Makaburi ambapo tukio hilo limeripotiwa kutokea katika Makaburi ya Mount Moriah mjini...
  5. Kasomi

    Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amekamatwa na wanajeshi wa Delta Force, kikosi cha operesheni maalum cha Jeshi la Marekani

    Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amekamatwa alfajiri ya leo Jumamosi na wanajeshi wa Delta Force, kikosi cha operesheni maalum cha Jeshi la Marekani. Tukio hili limetokea katika muktadha wa operesheni kubwa inayohusisha vikosi vya Marekani, ambavyo vimejizatiti katika kushughulikia mishemishe...
  6. Kasomi

    YouTube yaongoza kufuatiliwa zaidi Marekani Huku Facebook, Instagram na Tiktok zikifuatia pamoja na Mitandao mingine

    Mitandao hiyo iliyofuatiliwa zaidi Marekani ni kama ifuatavyo: YouTube Facebook Instagram TikTok WhatsApp Reddit Snapchat X (Twitter) Threads Bluesky Truth
  7. Kasomi

    Madaktari wa Marekani waandike Historia KCMC

    Madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu kutoka taasisi ya Barrow Neurological Institute nchini Marekani, kwa kushirikiana na wataalamu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), wamefanikisha upasuaji kwa wagonjwa sita waliokuwa wakisumbuliwa na matatizo sugu ya...
  8. Kasomi

    Iran yajibu shambulizi kwa jeshi la Marekani

    Iran imejibu mapigo kwa kurusha makombora katika kambi ya kijeshi ya Marekani ya Al-Udeid iliyoko nchini Qatar, ikiwa ni hatua ya kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran mwishoni mwa wiki. Kituo hicho, ambacho ni miongoni mwa ngome kuu za jeshi la...
  9. Kasomi

    Marekani kumkamata Traoré? Kwa nini Michael Langley ana wasiwasi?

    Marekani kumkamata Traoré? Kwa nini Michael Langley ana wasiwasi? Katika hali isiyo ya kawaida, jina la Kapteni Ibrahim Traoré, kiongozi kijana wa Burkina Faso anayejitambulisha kama mpigania haki za Waafrika, limeingia katika vichwa vya habari vya dunia si kwa mapinduzi aliyoyafanya tu, bali...
  10. Kasomi

    Je, Israel inahofia nini katika mazungumzo ya nyuklia ya Marekani na Iran?

    Je, Israel inahofia nini katika mazungumzo ya nyuklia ya Marekani na Iran? Marekani na Iran zinatazamiwa kufanya mazungumzo kuanzia Jumamosi ijayo (Aprili 19) ili kuafikia makubaliano mapya kuhusu mpango tata wa nyuklia wa Iran. Mwaka 2018, Donald Trump aliiondoa Marekani kutoka kwa...
  11. Kasomi

    Marekani: Meta Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  12. Kasomi

    Amber Heard muigizaji maarufu nchini Marekani anayetajwa kama moja mwanamke aliyewahi kuwa na Elon Musk

    Pichani kulia ni mwanadada Amber Heard muigizaji maarufu nchini Marekani anayetajwa kama moja ya wanawake warembo zaidi kuwahi kutokea duniani ambaye pia amewahi kudet na Elon Musk Cha kushangaza kuhusu Amber ni kwamba alianza kudet na Elon Musk huku akiwa mke wa mtu ndani ya ndoa na muigizaji...
  13. Kasomi

    Ukraine: Marekani na nchi za Ulaya zaahidi kutoa silaha nzito kwa Kyiv

    Ukraine: Marekani na nchi za Ulaya zaahidi kutoa silaha nzito kwa Kyiv Nchi zaidi zimejibu wito wa Rais Volodymyr Zelensky wa kutuma silaha zaidi nchini Ukraine. Marekani inasema kifurushi cha thamani ya $2.5bn (£2bn) kitatumwa, ikijumuisha magari ya kivita na mifumo ya ulinzi wa anga...
Back
Top