Niajiri Platform New member Jul 22, 2022 #1 Imegundulika vijana wengi wanalalamika kwamba hamna kazi lakini kazi zikitangazwa wanaotuma maombi ni wachache, je tatizo unakuta nini?
Imegundulika vijana wengi wanalalamika kwamba hamna kazi lakini kazi zikitangazwa wanaotuma maombi ni wachache, je tatizo unakuta nini?
Kasomi JT Founder Jul 25, 2022 #2 Nahisi vijana wengi wanaogopa kuomba nafasi za kazi kwa kuogopa kitu kilichovuma kwa sasa kwamba kujuana (Wengine huita connection)
Nahisi vijana wengi wanaogopa kuomba nafasi za kazi kwa kuogopa kitu kilichovuma kwa sasa kwamba kujuana (Wengine huita connection)