Kasomi
JT Founder
Jukwaa Pendwa la wakubwa kwa sasa lipo hewani katika category ya Members Only.
Jukwaa hilo ni jukwaa la Faragha (Private Forum), Hivyo yeyote mwenye kupenda kulifikia jukwaa hilo itabidi aombe idhini ya ufikiaji wa jukwaa hilo.
Kwa Wadau ambao hawana ruhusa ya ufikiaji wa jukwaa hilo hawataweza kuliona jukwaa hilo katika Risiti ya Majukwaa kama yalivyo mengine, lakini kwa Wadau wenye ruhusa ya kufikia jukwaa hilo ndio wataweza kuliona na kushiriki kwenye jukwaa hilo.
NB: Sheria zingine za JamiiTalk zitazingatiwa kwa wafikiaji wa jukwaa hilo.
Jukwaa hilo si jukwaa linalo onekana kwa umma, hivyo ukitata kulifikia Tuma ujumbe kwa JT Staff members ili kupata ruhusa ya ufikiaji
Pia endapo ukiwa na ufikiaji wa jukwaa hilo na ungependa kuondoa uwezo wa kufikia kwa namna yeyote ile unaweza kuwasiliana na Uongozi wa JamiiTalk (JT Staff members) ili kulemaza ufikiaji huo. Lakini pia kwa uvunjifu mwingine uongozi wa JamiiTalk unaweza kulemaza ufikiaji au akaunti yako kabisa kwa muda au milele.
Mada/Nyuzi zitakazo endeshwa katika jukwaa hilo zitakuwa na usimamizi ili kuepuka uvunjifu wa Sheria za jumuiya yetu au Jamii kwa ujumla na sheria za Nchi.